Mpambano wa leo huu hapa.... tetea star wako hapa kwa kumwagia sifa na kueleza sababu za kumchagua na kufanya aukonge moyo wako. Watambue washirki wetu kama ifuatavyo:-
- kushoto ni Wema Sepetu...
- katikati ni Jacqueline wolper
- na kulia ni Irene Uwoya.
Wote utawakuta katika sanaa ya uigizaji(Bongo movie) na video za wanamuziki mbalimbali.....
0 comments:
Post a Comment