Wednesday, August 29, 2012

MEMORY LOW.....

Omondi: daktari naomba unisaidie, nina tatizo la kusahau hata ukiniambia kitu muda huo huo nasahau buana!

daktari: kwani hilo tatizo limekuanza lini?

Omondi: tatizo gani?

0 comments:

Post a Comment