Hakika hata wewe unaingoja kwa hamu kubwa video ya Baadae ya Ommy Dimpoz. Baada ya kufanya vizuri katika video yake ya nai nai sasa aja na video ya baadae.... Angalia hapa wakiwa katika maandalizi. Video imefanywa nchini Afrika kusin na kampuni ya Next Level production,producer na director ni Adam Juma
Friday, August 17, 2012
Ommy Dimpoz katika video ya Baadae........Exclusive
2:24 AM
No comments
0 comments:
Post a Comment