Wednesday, August 29, 2012

K-Lynn atarajia kuitwa mama




Msanii na miss Tanzania mwak 200 K-Lynn ambae jina lake kamili ni Jacqueline Ntuyabaliwe , anategemea kupata mtoto siku za usoni, na hatimae kupiga hatua moja kubwa na kuitwa mama.

0 comments:

Post a Comment