Wednesday, August 29, 2012

Vituko uswazi

Jamaa flani katoka kazini akiwa na huzuni kibao.Akaketi sebuleni na kushika tama,mke wake alipomuona akamfuata;

MKE:"Kuna nini mume wangu mbona una huzuni hivyo?"

MUME:"Nimepata tatizo kubwa sana pale kazini."

MKE:"Mume wangu tumeoana,sisi ni kitu kimoja sasa,usiseme nimepata sema tumepata...haya niambie hilo tatizo."

MUME:"Alaa...basi tumemtia mimba secretary wa bosi!"

0 comments:

Post a Comment