Wednesday, August 29, 2012

Mtaani kwetu

Jamaa mmoja kaenda kuoa akaambiwa mahari ni millioni 5.
Akashangaa,"Khaaa! Ati millioni 5 wakati hapo kwa jirani nimeambiwa laki 2 tu,tena mwanamke mwenyewe ana mimba tayari!!! Acheni mchezo,ongeeni bei ya kueleweka!"

0 comments:

Post a Comment