Friday, August 31, 2012

Waziri Mizengo Pinda ashiriki msiba pamoja na wakatoliki wote


Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda, Mhashamu Pascal William Kikoti kwenye nyumba ya Askofu ilioyoko makao makuu ya jimbo la Mpanda




0 comments:

Post a Comment