Wednesday, August 29, 2012

Kazi ipo........

Chizi flani alipanda juu ya mwembe asubuhi.akakaa uko hadi jioni kisha akajiangusha jioni.Daktari wa màchizi akamwuliza, "mbona umejiangusha ?
"Chizi akajibu, "nimeiva!"

0 comments:

Post a Comment