Sunday, September 9, 2012

Doctor I have a Serious Problem!

A worried woman went to her gynecologist and said: 'Doctor, I have a serious problem and desperately need your help! My baby is not even 1 year old and I'm pregnant again. I don't want kids so close together. So the doctor said: "Ok and what do you want me to do?" She said: "I want you to end my pregnancy, and I'm counting on your help with this." The doctor thought for a little, and after some silence he said to the lady: "I think I have a better solution for your problem. It's less dangerous for you too." She smiled, thinking...

A DUMB DOUGHTER

A Nigerian mum says after receiving news that her teen daughter is pregnant, "chineke my daughter you have killed me oooo, i told you if a man touches your breasts say DON'T! and if he touches your vagina say STOP! You didn't listen to me you stupid girl." The girl replied, "but mama I did..... he was touching both places at the same time so I said "DONT STO...

PLEASE READ THIS BEAUTIFUL STORY

My mom only had one eye. I hated her… She was such an embarrassment. She cooked for students and teachers to support the family. There was this one day during elementary school where my mom came to say hello to me. I was so embarrassed. How could she do this to me? I ignored her, threw her a hateful look and ran out. The next day at school one of my classmates s aid, ‘EEEE, your mom only has one eye!’ I wanted to bury myself. I also wanted my mom to just disappear. I confronted her that day and said, "If you’re only gonna make me a laughing...

Friday, August 31, 2012

Waziri Mizengo Pinda ashiriki msiba pamoja na wakatoliki wote

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda, Mhashamu Pascal William Kikoti kwenye nyumba ya Askofu ilioyoko makao makuu ya jimbo la Mpanda...

Thursday, August 30, 2012

SAKATA LA TID KUTAKA KUMUUA ALI KIBA.

Habari zilizosambaa kwenye vyombo vya habari pamoja na mitandao ni juu ya sakata la msanii TID kutaka kumuua msanii mwenzake Ali Kiba kupitia kwa watu ambao walidai kuwa wametumwa na TID. Watu hao ambao walikamatwa na jeshi la polisi wanadai walikutana na mwanamuziki TID maeneo ya Mtongani ambako ndiko walikopanga mipango hiyo ya kutaka kumuua Ali kwasababu ambazo watu hao hawakuziweka wazi, Baada ya hapo ndipo walipofika maeneo anayoishi Ali...

Wednesday, August 29, 2012

WAVIVU CLASSIC.........

Huu ni uvivu au u lazy!!!!!???????...

MEMORY LOW.....

Omondi: daktari naomba unisaidie, nina tatizo la kusahau hata ukiniambia kitu muda huo huo nasahau buana! daktari: kwani hilo tatizo limekuanza lini? Omondi: tatizo ga...

MAIN CAMPUS.......

Lmao must read!!! A guy asked a girl in a library; “Do you mind if I sit beside you”? The girl answered with a loud voice; "I DON’T WANT TO SPEND THE NIGHT WITH YOUUU!!!” All the students in the library stared at the guy and he was embarrassed. After a couple of minutes, the girl walked quietly to the guy’s table and she told him “I study psychology and I know what a man is thinking, I guess yo u felt embarrassed right?" The guy responded with a loud voice: "Kshs 2000 JUST FOR ONE NIGHT!!!? THAT’S TOO MUCH!!!" ...and all the people in the library...

Kazi ipo........

Chizi flani alipanda juu ya mwembe asubuhi.akakaa uko hadi jioni kisha akajiangusha jioni.Daktari wa màchizi akamwuliza, "mbona umejiangusha ? "Chizi akajibu, "nimeiv...

Watoto wa siku hizi

...

Ngoma mpaya ya TUNDA MAN-DEM SIO

Tazama video mpya ya Tunda Man ya wimbo uitwao Dem s...

K-Lynn atarajia kuitwa mama

Msanii na miss Tanzania mwak 200 K-Lynn ambae jina lake kamili ni Jacqueline Ntuyabaliwe , anategemea kupata mtoto siku za usoni, na hatimae kupiga hatua moja kubwa na kuitwa ma...

Ndani ya ndege

Pilot flani alikuwa anasafirisha machizi kutoka mathare. Chizi mmoja akatoka nyuma akaenda hadi kwa pilot. CHIZI:"Mi nataka unifundishe kuendesha ndege." PILOT:"Poa lakini enda kwanza uwaambie wenzako huko nyuma wanyamaze....wana kelele sana." Chizi akaenda baada ya tym kuka nyamaza,akarudi kwa pilot. PILOT:"Umewafanyaje hao...mbona wamenyamaza." CHIZI:"Nimewafungulia mlango nikawaambia wakacheze nj...

Kanisani kwa kina naniliu.....

Leo kanisani baada ya ibada mapasta watatu walikutana,wakaanza kuongea matatizo yao waombeane; Pasta 1:"Tatizo langu ni wizi,kila baada ya ibada lazima niibe sadaka zinazotolewa na waumini,pliz niombeeni niache hii tabia." Pasta 2:"Tatizo langu ni wanawake,kila mwanamke ninayemuona natamani kulala naye,nimelala na mwalimu wa sunday school na karibia waimbaji wote wa kwaya.pliz niombeeni niache hii tabia." Pasta wa tatu akaanza kulia,wenzake wakamuuliza,"Wewe vipi?" Akajibu:"Mi tatizo langu ni Umbea! Tukitoka hapa lazima nikaaenze kila kitu mlichosema,niombeeni...

Mtaani kwetu

Jamaa mmoja kaenda kuoa akaambiwa mahari ni millioni 5. Akashangaa,"Khaaa! Ati millioni 5 wakati hapo kwa jirani nimeambiwa laki 2 tu,tena mwanamke mwenyewe ana mimba tayari!!! Acheni mchezo,ongeeni bei ya kuelewek...

Vituko uswazi

Jamaa flani katoka kazini akiwa na huzuni kibao.Akaketi sebuleni na kushika tama,mke wake alipomuona akamfuata; MKE:"Kuna nini mume wangu mbona una huzuni hivyo?" MUME:"Nimepata tatizo kubwa sana pale kazini." MKE:"Mume wangu tumeoana,sisi ni kitu kimoja sasa,usiseme nimepata sema tumepata...haya niambie hilo tatizo." MUME:"Alaa...basi tumemtia mimba secretary wa bos...

Saturday, August 18, 2012

EID MUBARAK

Mzee Ali anapenda kuchukua nafasi hii kuungana na wasomaji wa blog hii duniani kote kuwatakia Eid Mubarak. Mungu azidi kutulinda na kutuhifadhi siku zote. Ahsanten sana wote...

Friday, August 17, 2012

Ommy Dimpoz katika video ya Baadae........Exclusive

Hakika hata wewe unaingoja kwa hamu kubwa video ya Baadae ya Ommy Dimpoz. Baada ya kufanya vizuri katika video yake ya nai nai sasa aja na video ya baadae.... Angalia hapa wakiwa katika maandalizi. Video imefanywa nchini Afrika kusin na kampuni ya Next Level production,producer na director ni Adam Ju...

New Video "Mtoto wa kariakoo" by Dully Sykes

Mtu mzima Dully Sykes arudi upya na ngoma iitwayo Mtoto wa kariakoo ...

Thursday, August 16, 2012

Sikiliza wimbo mpya wa Professor Jay na Dully Sykes

Msanii mkongwe wa kizazi kipya kwa jina halisi Joseph Haule maarufu kama prof Jay, amerudi upya na wimbo uitwao Hello akishirikiana na Dully Sykes.....  click here to download...